Recent content by Mr way 1

  1. M

    Natafuta kazi ya kuwa kinyozi

    Yer bajet yake ni simpo ninaweza sema kwamba ambavyo utahitaji na ndivyo bajeti itakavyokuwa kiongozi kwa sababu saloon ni namna ww binafsi utaamua iweje so ni simpo tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Natafuta kazi ya kuwa kinyozi

    Ni mzoefu na ni hodari kwa kazi hii. Nina muda mrefu nayo na nimeweza kuwa na wateja wengi sana. Napatikana Kinondoni kwa wakazi wa Mkwajuni. Garden Mwananyamala na viunga vyake wanafahamu kazi ya mikono yangu bila shaka Mr Way. Kwa yeyote mwenye kunihitaji tafadhali anicheki inbox tuweze...
  3. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kiwanja changu nimenunua miaka minne iliyo pita ilinijenge chaajabu magu kajenga nchi mimi hata msingi bad. ,,,,, nakukubalisana raisi wangu wewe nimpango wa mungu kumbe inawezekana eeeh
Back
Top Bottom