Zanzibari si wana serikali yao?, nasisi tuwe na yetu ambayo hakuna mzanzibari atakayeweka pua yake hapo, af ndio tuwe na serikali ya muungano mixer.
Tofaut na hapo kila mtu ale hamsin zake.
Shabiki wa kitimu kidogo kama arsenal anakuja kutuletea taarabu za mashabiki [emoji1787]
Timu haina kikombe chochote cha ulaya halafu anatulingishia mashabiki [emoji23][emoji23]
Ona huyu nae [emoji1787]
Plastic club ina uefa, wewe weka kombe lako la ulaya ulilobeba hapa tuone.
Toka umezaliwa mpaka leo mnabaki kunusa makwapa ya wengine tu, mpaka west ham ana conference, halafu unakuja kuimba taarabu za plastic club humu [emoji1787]
kwani hiyo parade inafanyikia bongo brother?
Hiyo sijaandika kwa hulka za kishabiki, ni taarifa official kabisa na list ya barabara zitakazofungwa imeshawekwa wazi, unapochukulia fanbase ya humu jf unafikiri na UK ni hivyohivyo?
Site; Manchester evening news.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.