Recent content by Mr so Real

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

    Israel kashindwa vita kwasababu netanyahu mwenyewe alishasema kusimamisha vita ni sawa na kukubali kusarenda kitu ambacho yeye haiwezi kufanya na Leo amefanya maana yake ni kakubali kusarenda
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi

    Kwani Hiyo WW ndiyo mara ya kwanza kutokea HADI Leo ikawe mwisho WA Dunia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

    Habarini wana jf Wakati jana tuna3ndelea na uokoaji vilikuja vikosi vingi sana ilni mwa vikosi kilikuwepo kikosi kimoja watu wake walikua ni wahindi tupu huku sare zao zikiwà zimeandikwa TASK FORCE KSIJ naomba kujua kile ni kikosi gani mana hadi sasa sina jibu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Kaka mm ni mgeni ila nnaiman matusi hayaruhusiw acha nijikaze ila akili zako haziko timam, wapi ametoa nguvu za kusafir ndugu yangu Hali iliyokua pale siyo nzuri hata kidog labda unaona Kwa nje ila mule ndani ni pagumu hatar watu wanateseka kiasi HADI tuliokua tunatoa msaada Jana tumejikuta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

    Nimeona wengi sana wakilaumu kuhusu watu kutojitokeza kutoa msaada, Kwa upande flani ni sahihi lakini je nani anaweza kuhatarisha MAISHA yake Kwa kupambana na watu ambao ameshafahamishwa kuwa wanatembea na siraha za moto (bunduki), wote tuna kumbuaka kuhusu lile tukio lililotokea kule club ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

    mbona Iran walishasema kua wanasubiri BAADA ya UCHAGUUZI WA marekani na mambo yakae sawa ndo akiwashe au Huwa unafatikiaga habari za upande mmoja tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Israel kwafukuta. Natenyahu akabiliwa na upinzani kila kona!

    Kiasi unaweza usielewe ila ni kwamba hizo familia zimechoka kuona makumi ya ndugu zao wanaokufa kila siku ba Hezbollah halafu serikali ina walamba lamba tu huku familia yake kaifacha hukoooooooo
Back
Top Bottom