Recent content by mr qns

  1. mr qns

    Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Naomba aliyefanya hii biashara dodoma mjini anipe uzoefu wake nataka kufungua hapo dom
  2. mr qns

    Je, Kuna uwezekano wa kuongeza Members zaidi ya 256 kwenye kundi la WhatsApp?

    Kuna group latech watsapp niliingia nilishangaa coz lilionesha members wamejaa 256 na bado nikaingia so means ipo njia
  3. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi tiki za jana si ndio
  4. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka huu hapa jackpot 13 mechi,unapewa hela kuanzia mechi 10.game zinaanza kesho
  5. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haina noma mzee wacha niushushe hapa
  6. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu anayecheza hizi jackpot za betpawa mechi 13 tushirikiane kuongeza nguvu aisee mana pesa wanatoa kuanzia mechi 10 namimi naishia 8 au 9 ni muda sasa najinoa tu.anayecheza tushirikiane tupige hela
  7. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu wewe ni legend ujue sikujua ni ke,heshima yako
  8. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja wadau watuambie kama wamebadilika naweza kurudi japo kitu kikubwa napenda sportpesa ni option ya kufuta mkeka,sijui kampuni gani wanayo hii option pia
  9. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nakuombea ushinde mkuu ila usinisahau kwenye ufalme wako
  10. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mimi nilitoka enzi hizo ukishinda mpaka kesho sijui sikuhizi
  11. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unanipa hasira ushapata hata game 13?
  12. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wasen*& sana site ipo down zaidi ya masaa 4
  13. mr qns

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game ikiwa hivo probability ni draw na kama una mashaka basi weka HT Draw uwezekano wa kutiki Ht x ni mkubwa hapo
Back
Top Bottom