Naam waswahili husema ukubwa dawa basi ndo hivyo maneno yanatimia kwani msanii mkongwe wa muziki wa bongoflavour hapa nchini king kiba sasa ameamua kuja ni kitu kingne kizuri kwa mashabiki wake kwa kuja na ngoma kali atakayomshirikisha msanii mkubwa kutoka USA Ne-Yo.
King kiba ameyasema...
Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufahamu wa kupika popcorn zinazokuaga na ladha ya sukari ilitupate kufahamu hapa jukwaani kwa faida ya wengi karibuni!!
Tupia mashairi yako binafsi uliotunga mwenyewe, yakiwa na vina vyenye kuleta maana tuonyeshane mauwezo mimi naanza hivii....
Kazana kula kitabu
Kwani ndio mwisho wa tabu
Unayokila sababu
Kuyafanya maajabu
Upumbavu ni adhabu
Soma uwe na adabu
Madhabahuni utubu
Bwana Yesu muabudu
Bro unamawazo kama yangu, yaani kiukweli nikiwaangaliaga wasanii wetu uwezo wanao tena mzuri kabsa sawa na hao ambao tunawaona akina davido, sijui akina mafikizolo, J.martins na wengineo tunaowasikia katika anga za kimataifa, shida inakuja kwa kweli hawana plan, hawana mtazamo wa kuufanya muziki...
uko sawa kabisa mkuu ni vizuri kuwashindanisha wasanii wanaofanya muziki unaofanana diamond hadanyi rnb hivyo unakosea sana kumshindanisha na benpol bytheway namkubali sana benpol ni mkali pekee wa rnb hapa tz
Licha ya kua ni mwanamziki anaefanya poa sana kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flavor hasa kwa upande wa R&B, kias cha kubeba tuzo kadhaa za mwanamuziki bora wa R&B pia hata wimbo bora wa R&B kijana mpole mtanashati mwenye sauti ya kuvutia kabsa entertainment voice mwanamuziki benpol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.