Recent content by mr piano man

  1. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Dar es Salaam poleni kwa kutukanwa Kidiplomasia na mnachekelea tu!

    Epuka kujifanya we bola kuliko mwenzio ila pigana we na mwenzio muonekane bola
  2. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yenye Neema Inakuja! Hongera Rais Magufuli

    Hivi ili neno kupiga dili mbn watu wanalichukulia poa sana yaan yule mtu mwenye kibanda chake cha chips au duka anaelalamika kua wateja hakuna alikua anapiga dili gani?? Tue tunatafakali kidogo unaposema mpiga dili unatakiwa umtaje
  3. mr piano man

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Kweli kabisa tena tuanze kwa kupunguza wakuu Wa wilaya na mikoa kaz zao zifanywe na wakurugenz na ma RAS kwa maana ni kama hawana humuimu sana
  4. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Simon Sirro amjibu Makonda tuhuma za kupokea rushwa na kushindwa kudhibiti shisha

    Kama walitaka kumuhonga kwanini asingewapeleka TAKUKURU?
  5. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Waziri Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wamewafukuza kazi waajiriwa wapya 3000 walioajiriwa Juni 2016

    Mhh iyo sio chai maarage kweli??
  6. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Fid Q Ngosha the Don, haujawahi niangushe

    A see jamaaa huwa hakosei big fid Q we ni zaidi ya msanii
  7. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Kuvuja Kwa Rushwa ya Wabunge Sababu ni Mgawo

    Hii kitu ni kweli ina ukweli?
  8. mr piano man

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri bungeni Novemba 1, 2016: Serikali kutoa mikopo kwa wenye uhitaji kuliko wengine

    Mhh kwakweli kwenye ajira mpya mpaka sasa hv bado ni kitendawili cjui nani anakuja kukitegua
Back
Top Bottom