Recent content by Mr perfect

  1. Mr perfect

    Skimming ya Cement Vs White Cement

    Iyo Rangi ya maji kuosha ni kampuni gani nzuri...?
  2. Mr perfect

    Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Nashauri nenda kiwandani kaongee na manager masoko then uje utupe mrejesho na sisi wa mikoani tujifunze kuanza iyo business
  3. Mr perfect

    Kufilisika: Tunajifilisi au tunafilisika?

    unajilipaje yaani unatoa bei gani maake huwezi jilipa km mfanyakazi wa serikali kwenye biashara.
  4. Mr perfect

    Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    Raptor ni balaa nilipanda ile ni beast na ndege ya chini
  5. Mr perfect

    Ingia mwaka 2023 na siri ya kutunza siri ili mambo yako yasibume tena

    Na hii siri ya kufanikiwa kwanini umeiweka wazi sasa
  6. Mr perfect

    Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Saiv watu wanajilipua balaaa ndio ule msemo usemao LIWALO NA LIWEEE
  7. Mr perfect

    Kwanini watumishi wengi wa Serikali wana hali duni kiuchumi?

    Dah umempiga ngumi ndoige na mpapaso
  8. Mr perfect

    Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

    Nisahihi km shirika la ndege aisee ilikuwepo community airline fastjest bei chee kwann lkn?
  9. Mr perfect

    1980's Jahazi lililosheheni bidhaa liliungua pale Posta ya Zamani baada ya Fire kuuzima moto Ilikuwa ni Neema na siyo balaa!

    God is good all the time....has happy sabbath kimfaacho mtu chake iyo ni kufa kufaana
  10. Mr perfect

    Ukijiamini haupati Maradhi

    Sometimes yes sometimes no. Vuta picha maisha ya bush hawana maji kule maji ni hanasa wanakula bila kunawa wala kuoga maji ya kunywa ya mtoni machafu n mtoto ana immunity balaa azingui magonjwa sasa ww wa mjini gusa km wao uone, lifestyle la mtu inategemea na antibodies antigens high immunity...
  11. Mr perfect

    Wazoefu wa biashara ya parachichi nina swali

    Mpaka hapo kdg mmemchangamsha akili yake maake alifkiri parachichi mpk ya kule tu ndio utakupa majibu bay the way iyo ni tenda uchwala ingekuwa ni ya uhakika saiv ingekuwa imeshakata kona ya makambako...huwezi amua mpk uguse sio [emoji2957]
Back
Top Bottom