Tunawaomba ili tupate watoto,wakutupikia,kutufulia, na kutembea nao barabarani na ndio maana bado kuna wanaume wanapiga nyeto kwenye ndoa zao na hata wakiwa kwenye mahusiano.
Sijaelewa umekuaje kwenye mahusiano na mtu ambae humpendi? si bora ungemuacha mwenzako awe single kuliko kumfanya aamini unampenda kwa kumkubalia?
Anyway usikute unaowataka wanaona uko kwenye mahusiano ndo mana hawakufati.
That is pretend, it is better to let the man love you for the way you are, ndo mana sikuizi mahusiano hayadumu...Kuonana unaonana na Cindy, kwenye date anakuja Candy, you fall for candy after one week of dating Booom......unadate na KENDI..then you loose your appetite and your relation no longer...
Mkuu acha kuhalalisha uchepukaji..
Kama unafanya hayo yote kwa sababu anayahitaji mbona wewe hukwenda kumtolea mahari nyumbani kwao wakati anahitaji wa kumuoa?
umesema alisema tunda atakupa ukiwa umemuoa kwa hiyo icho kipindii ndo angekupa ukimwi? na usiwe na lakufanya mi binafsi nahisi either kaamua kukunyima au ndo aliamua kukuangamiza kwenye ndoa
I was there my one and only at the time when you thought i was not your type,
I was there when you denied my existence by not even responding to my hello,
i was there when you did not have the gut to say yes and change me to who you want,
Remember the time i approached you more than once and all...
Kwanini usiwatoe hapo nyumbani, akitoka mama mwanae atamfuata..muelekeze kwa utaratibu mzazi na umwambie hujapenda wanachokifanya hivyo wakupe nafasi kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.