Siasa za maji taka,zishapitwa na wakati.kiukweli serikali nzima hakuna Mwenye akili kama TL.wengi wanalinda vibarua vya hisani utadhani hawana elimu.mbona std seven tunadunda mtaani na maisha yako fresh I kimtindo mtindo.PhD holder unamkuta Yuko kama mbwa koko mflani kazini.wanateseka.Katiba...
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,naamini kila kitu na wakati wake.
Ila usimwamini mwanadamu mwenzako,maana aweza kuwa rafiki pia adui kwa nyakati tofauti.Amigo
Kichwa kigumu kile,NEC wenyewe wamejitetea kuhusu hilo.wamedai sio wao waliomfungia Bali kamati ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi.Punguza jaziba mkuu.TL hawamuwezi,temu hii mtakaa sawa.
Unafiri ni vyema,kuneemeka watu 50 kati 1,000,000.kwa hiy.nchi ni ya wote na sio ya wachache .unadhani hatujuani ccm ndo itakayoleta machafuko.tutakung'utana vilivyo.usenge hatutaki hata kwenye nachafuko unadhani chanzo ni nini au hujawahi kusoma historian au...
Acha watetee ajira zao,wangejua kuwa mda wa sarakasi ulishaisha wangetulia wakafata kanuni. Mbona hiyo kipara hajajibu hoja ya Lisu kuhusu barua za malalamiko ya chadema kuhusu magufuri.
Jitu bila aibu et linatoka mbele ya kamera kuharisha likidhan wtz wote ni wanaccm. Eti kamat ya vyama vya...
Kwa nn hizi taasisi hazijielewi.why TL tu!/.huku NEC,kule IGP,mara MITUNGI YA GESI,mbali kidogo makada.ama kweli wanapelekwa MCHAKAMCHAKA.
Hawatamuweza TL wacha wakurupuke tu kwa kumfurahisha MEKO.aliko mwenyewe hana hamu.wamebaki vibaraka wanarusharusha miguu.uzuri wanajua wanaemfwatafwata.amigoooo
Huu mwaka ndo mwisho wao wajinga sana.watatafuta pakutokea.na wataisoma vizuri tu.wataenda kulima tu wataishi kama mashetani subiri.watatendewa kulingana na matendo yao.
Na hii inadhihirisha jinsi anavyowanyoosha watesi wake.na mwaka huu lazima awaache uchi.we sio wa na nchi bali mwananchi.kura ni moja tu ya kwako amigo.hata mkeo hujui atampigia nani.ila kiukweli TL ni sawa ya MAPUNYE
Anaongea kama nani,TL wanamjua au wanamsikia.hata hao tume hawana cha kufanya.he mgombea wa ccm amewahi kuitwa lini licha ya kukiuka maadili.au maadili hayo ni kwa ajili ya TL.Uzuri wanaecheza nae sio fara anawazidi hao mbwiga.
Kiufupi,huu mwaka sio wa mazoea washaambiwa sana tu.polepole kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.