Yeah IPO Sawa kwasababu kama hutoi pesa Ile faida ya mwisho WA mwezi inajumlishwa kwenye mtaji. So kama ulikuwa na million moja Kwa mwezi huu then faida ikawa 11,000 means mwezi unaokuja mtaji wako ni 1,011,000.
So hizo gawiio za kila siku zitatumia huo, kama mtaji mpya.
Pesa haiwezi kupungua...
M-wekeza ni kwamba wanato gawio Hadi 13% Kwa mwaka. Lakini nilivoona ni kwamba Hilo gawio linatolewa kila siku na hizo asilimia 13 zinakuwa Kwa siku so mfano Leo inaweza kuwa 12%, Kesho 11.2%, keshokutwa 10.9%. ni inabadilika kila siku.
So kujua gawio lako Kwa siku husika ni
Mfano mtaji wa...
Habari!
Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
Habari.
Natafuta deep flayer inayotumia umeme kwaajili ya kuchoea chips, iwe na plate mbili.
Njoo na offer yako.
Mawasiliano: 0743-451-357 call/sms/WhatsApp/PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.