Recent content by Mr Msagati

  1. Mr Msagati

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu visawe vya maneno yafuatayo

    Naomba kufahamu visawe vya maneno yafuatayo 1. Bahati Naomba maana ya neno Nuksani!
  2. Mr Msagati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujua unyumbulishwaji wa neno Adhibu

    Kwa jibu hilo basi Forum haina maana .... Kwako rais wengine sio ndio maana mtu anauliza. Acha dharau Jogoo wa shamba. Kama huna hamu ya kusaidia ni vema ukae kimya na sio kucheza shere hapa wakati mtu anahitaji msaada katika ukakasi uliupata
  3. Mr Msagati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujua unyumbulishwaji wa neno Adhibu

    Naomba unyumbuishaji wa neno adhibu? TENDA- TENDEA- TENDEKA- TENDANA- TENDEANA- TENDWA- TENDEWA - TENDEKA- TENDESHA- TENDESHANA- Karibuni tupanuane uelewa...
  4. Mr Msagati

    JamiiForums Tanzania Kinyume cha ardhini ni nini?

    Hhaaahahahahah. Fungukaaaa
  5. Mr Msagati

    JamiiForums Tanzania Kinyume cha ardhini ni nini?

    Kinyume cha Ardhini ni; a) Angani b) Mbinguni Katika jibu utupe sababu ya jibu lako. Wataalamu wa Kiswahili karibuni.
Back
Top Bottom