Recent content by Mr. Moshi

  1. M

    Natafuta gari toyota starlet (used)

    Nitafute nikupe starlet kali kwa bei nzuri. Niko moshi mjini. Unaweza kuikagua gari na kuitest anytime. Call/sms 0755033441
  2. M

    Eti bado naogopa kupenda tena....!!!

    We Ntiba nawe bwana! Eti naogopa kupenda.. wakati kamtu kamesha fall siku nyiiingiii.. we hapo tayari. Wala usihangaike kujidai kufichaficha viji feelings!
  3. M

    Nini kifanyike?

    Acha nikuambie kitu dada dagaa. Si vibaya kuishi na ndugu, wala si vibaya kusaidia ndugu anapokuwa anahitaji msaada wako. LAKINI.. Siku zote jitahidi sana kumsaidia mtu huko aliko badala ya kumhamishia nyumbani kwako! Hasa pale ambapo mtu huyo atakuja kukaa kwa muda mrefu (mf. kusoma). Mimi...
  4. M

    Nipo tayari kufundisha

    Hili ni moja kati ya mawazo bora ya kujenga niliyoyaona tangu matokeo mabovu ya form four yalipotangazwa. Nchi za wenzetu, hata wazazi huwa wanajitolea kufundisha bure kwenye shule za msingi/sekondari pindi inapoonekana kwamba kuna upungufu. Huku kwetu tumebaki kulalamika tuu ooh, walimu...
  5. M

    Cheap internet access

    mitandao mingi bongo iko hivi: KAMA bei ni rahisi, huduma ni mbovu KAMA huduma ni nzuri, bei ni ghali! Wewe unataka mtandao wa bei rahisi au wenye internet inayopatikana? Maana unaeza pata bei rahisi ila kitu LOADING... lisaa lizima
  6. M

    Starlet inauzwa - Moshi

    Toyota Starlet 4E, EP 91, 1330cc, silver inauzwa. Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana kwenye picha. AT,PW,PS,ABS,AC, 115,000km, sport rims, no accident, clean exterior and interior, fuel economy. Gari iko Moshi mjini. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi. Bei 6.5m Piga/sms 0755...
  7. M

    Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    KOMBINESHENI YOYOTE NI NZURI iwapo utaifanya vizuri. Full stop. Haya mambo ya kusema kombinesheni fulani ina ajira zaidi mara nyingi sio kweli sana. Halafu kumbuka mambo yanabadilika sana.. mpaka uje umalize chuo kikuu miaka mi5 ijayo, una uhakika mambo yatakua kama yalivyo sasa? We chagua kombi...
  8. M

    Nisome chuo au Advance

    Mi wacha nikushauri kwa faida yako na wengine. Kama wadau walivyosema hapo juu (mi sina uhakika) ni kwamba ukisoma EGM huwezi enda Engineering. hilo la kwanza tilia maanani. Mi ninachokiona hapa ni kwamba unaweza tu kuhamua either kwenda 'advance' au kwenda chuo, yote ni sawa tu. Ila ujue...
Back
Top Bottom