Recent content by MR. MORRIS T. J.

  1. M

    Mchungaji Faustine aliyefukuzwa Tanzania na kukimbilia Kenya

    nyimbo zake ni SIMU SI MENO KILA MTU AWE NAYO, WAANDISHI WA HABARI, C.C.M IMECHOKA TUSIICHAGUE TENA, MC.C.M INAUA MAALBINO, hizo ni baadhi ya nyimbo zake, WIMBO ULIOMPELEKEA AKAMATWE NA UPIGWE MARUFUKU NI ULE UNAOSEMA CCM IMEKUFA ISIREJESHWE TENA MADARAKANI,HO NDIYO ULIOMPELEKEA APATE MISUKOSUKO...
  2. M

    Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

    Si bure unalaana wewe, hv hujui mwendo kasi unaua? et mabasi ya mwanza mengine yalifika saa 2 hujui hayo mabasi yaliendeshwa kwa spidi kubwa sana? kwa taarifa yako kutoka Ukitoka Saa 12 ASBH DAR TO MOR UNAFIKA SAA 4, MORO TO DOM Utafika Saa Nane, DOM TO SING Utafika Saa Kumi SING TO IGUNG Saa...
  3. M

    Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

    et nilichelewa kuingia mwanza! halafu ukipata ajari ndo unaanza kulalamika gari lilikuwa mwendo kasi
  4. M

    Hii ndege(5H-ZAI) ni ya nani na hufanya nini kwenye mbuga ya Selous?

    siku c.c.m iking'oka madarakani asilimia tisini matajiri watakufa vifo vya ghafla tu.
  5. M

    Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

    Soma sala ya kitubio hapo juu,kwenye hoja yangu
  6. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    kanjibai haajiri makahaba, huyo kajiari mwenyewe kwa macheni
  7. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    MBAYA ZAIDI TANGU UUNGANISHWE NA BIMA HUJAWAHI KUUGUA HATA MARELIA MWAKA WA 4 SASA,WATEGEMEZI HUNA,WAZAZI HUNA, MKE HUNA, WAKWE HUNA,WATOTO HUNA,makato Ya Bima Hayapungui Ni Yaleyale, HAWA NI WEZI WAKUBWA
  8. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    Tupeleke kilio chetu kwa baba yetu rais jakaya kikwete 0754777775
  9. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    UTATUSAIDIA SANA, Kwanini Wawatoe Watoto Wakifikisha Umri Wa Miaka 18? Kwanini Wanichagulie Watu Wa Kuwaweka? Kwanini Iwe Lazima Kujiunga Na Mfuko Huo? Kwanini Wasiruhusu Ushindani? Kwanini Nafasi Ziwe 6 Ambapo Ukiweka Wakwe Zako Na Wazazi Wako Nafasi Za Watoto Japo 2 Zinakosekana? WATUME...
  10. M

    Sakata la mahakama ya kadhi, CCM ilaumiwe

    Bakwata NI HARAMU Kwasababu Ilianzishwa Na Serikali, IWEJE MAHAKAMA YA KADHI IWE HARALI AMBAYO PIA ITAANZISHWA NA SERIKALI?
  11. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    Tumlilie Rais Wetu Jk 0754777775,ni Msikivu, Kama Aliwasikiliza Wapinzani Wake Atashindwaje Kutusikiliza Sisi?
  12. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    TUMA MESEJI KWA MBUNGE WAKO MUDA HUU ILI KESHO WAIZUNGUMZIE BUNGENI, KIMSINGI BIMA Iwe Hiari.
  13. M

    Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    Shule Arudi Wapi Huyo, ANANYEGE ZA PUNDA.MTU ALIJAZWA MIMBA AKIWA DARASA LA SITA LEO UMPE USHAURI WA KWENDA SHULE! USHAURI PEKEE AMBAO UNGEMPA NI KUWA KWENYE POCHI YAKE ASIKOSE KUWEKA KONDOMU ZA DUME. Pia Hao Watoto 5 Alionao Wa Baba Tofauti Wametosha, JENIFER ANAAKILI YA KUVUKIA BARABARA TU NA...
Back
Top Bottom