Recent content by Mr. Mkwachu

  1. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Je, Zitto ni mbadhirifu ktk kile kinachoitwa ubadhirifu wa trilioni 1.5?

    Wabongo bwana Utasema wamerogwa. Kuna tatizo kubwa gani kama, raia wako akiwa na wasi wasi na wewe kiongozi na akaanza kukuuliza maswali? Je suluhisho ni kumjibu hoja zake au kumfunga mdomo? Lipi jukumu la kiongozi hapo? Kigumu kikowapi wakisimama na kuanza kusema shilingi 100 ilitolewa kwa...
  2. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Ni sawa na kuuliza, kwanini mtu akifanya kazi nzito anakunywa maji baada ya hapo? Ili upate nguvu unahitaji glucose mwilini, so wakati wa masuala nguvu nyingi huitajika hivyo glucose nyingi huingia ndani ya damu na kusababisha balance ya blood contents kubadilika na kufanya uhitaji maji zaidi...
  3. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Musiba: Nina majina 1,800 ya wanaompa Mange Kimambi siri za Serikali; kuna vigogo wa Serikali, CCM na CHADEMA

    Shida ya Tanzania tunaenda kwa hisia na sio malengo, wala mipangilio maalum, huyo hisia zake zina mtuma awe IGP afunge watu miaka 200 kwasababu tu anatamani hivyo, sasa jiulize kihalisi kuna watu kama hao wangapi kwenye madaraka? Alafu kama yeye ana Intel kiasi hicho Kwanini alitusaidie majina...
  4. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Ukiangalia mambo yanavyokwenda TZ pasi na ushabiki kila kitu kina endeshwa kisiasa tu yaani ni porojo tu na wala hakuna misingi maalum ya kuhakikisha tunasonga mbele. Kuanzia kwenye elimu, sanaa, biashara na kadhalika. Ukitaka kujua ukweli wake waulize wanaobanwa na shughuli zao mmoja wao akiwa...
  5. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    20 Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  6. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu makundi ya damu

    Je kuna madhara gani endapo Mume akiwa na blood group A- na mke A+?? Kwa vizazi vya. Na Je endapo wote watakua A+ au A- kutakua na shida kwa watoto watakao zaliwa?
  7. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu makundi ya damu

    Je Kuna madhara gani endapo Mwanaume mwenye blood group A- kuoana na Mwanamke mweye A-?? Na Je vipi kama wote ni A+??
  8. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    Mimi sielewi mambo ya CAS yaani tangu nime apply mpakaleo check in progress tuu!!! nawakati mahala hapo ndipo panatakiwa kunionyesha kama nimefit selection yangu au laa!! je ntajuaje kama nimefit??? :hail:
  9. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma CBG naweza kusomea Medicine?

    Hapana mkuu wewe unamjua Abiola sasa mimi chalii ake
  10. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma CBG naweza kusomea Medicine?

    Asante
  11. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma CBG naweza kusomea Medicine?

    Naona ushakua Mungu sikuizi eti? We hujui mbele yangu kunanini au ndio Ulitaka nijue kua una 1 eti??
  12. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu application ya HELSB

    Asante mheshimiwa
  13. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu application ya HELSB

    Ukitaka kuangalia unayaona wapi
  14. Mr. Mkwachu

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu application ya HELSB

    Ykitoka tutaarifu brother
Back
Top Bottom