Recent content by mr mkiki

  1. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali wakijidai kuuliza vijiswali vya trekta za Heche ,na Heche nae aulize juu ya magari Yao ya mabilioni

    Huwezi kuwa na waziri kama Katambi kwenye akili za kuita wasanii na mashoga nchini.
  2. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Kwani kazi ya usalama wa Taifa ni nini hapa kwetu? Si umbea tu wa kufanya viongozi waishi vizuri
  3. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hakuomba radhi na/au kuwapa pole Watanzania kwa serikali yao kuuwa maelfu, kutesa, kupoteza na kuwapa kesi za uongo

    Kwanini hakusema kama KATIBA YA NCHI HII KUWA 🚮🚮
  4. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hakuomba radhi na/au kuwapa pole Watanzania kwa serikali yao kuuwa maelfu, kutesa, kupoteza na kuwapa kesi za uongo

    Ushirika wa wachawi haudumu. Ni hivyo. Hivyoje? hivyo! Imma Nchimbi alikuwa na hamu ya ofisi na akasahau mamlaka ya damu yana laana. Lazima anajuta kuwa angefanya tofauti, ikiwemo kukaa nje ya dola la damu za Watu. That is basic decency. Tanzania will never be the same after Oktoba 29. Mamlaka...
  5. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi/Mahakama hawajawahi kuona jinai kwenye ripoti ya CAG, au jela ni maalum kwa Wakosoaji wa serikali tu?

    Maeneo mengine mengi watu wanavunjaga katiba na wala hawajali!! Lakini kwanini kwenye report ya CAG kuwekwa hadharani ufisadi wanaofanya hapa huwa nini kinatokea? Sawa ni takwa la kikatiba, but kwani wao huwa wanajali kuvunja katiba?
  6. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu, msishangae kuambiwa haitaruhusiwa vyombo vya habari kuitangazia kwa wananchi

    Serikali ya kuuwa wananchi hiyo ndio mpango wao
  7. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  8. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya ajabu Sana, mtu aliyeua raia wake bado anathubutu kutoa salami za Mwaka Mpya 2026

    HAWEZI KUMALIZA MIAKA MITANO.
  9. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    WATU WAKUFA …….!!! ANAFANYA NINI HAPO? Anataka AMANI ILI WATU WAENDELEE KUTEKWA NA KUPOTEZWA. Alafu kuna Mtanganyika anapost huu ujinga.
  10. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu watadanganywa kuwa Lissu ni kibaraka wa Mabeberu

    Tuendelee tu………bado wapo wengi tu
Back
Top Bottom