Recent content by mr mayormoney

  1. mr mayormoney

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Habar za mda wakuu mim nataka kujua hii namba tunayo ambiwa tupige inapokelewa kwel maana ipo busy kila sio asubh sana wa jion wala mchana mda wa kaz kuna kusaidiwa kwel kwa hali hii hyo helpdesk siwaongeze workers na namba nyingine
  2. mr mayormoney

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Naomben kujuzwa eti kuna majina mengine yametoka ya mkopo
  3. mr mayormoney

    Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    Hebu nipe report s1246/0098/2009 Npo safarini kiongoz
  4. mr mayormoney

    Nacte confirmed

    Perry unajibu nn sasa jaribu kuwa kama msomi... Den ndugu fanya mawasiliano na chuo ukiwana support ya nacte ama tcu
  5. mr mayormoney

    Mzumbe University Selection 2014

    Ila ni ya local government ndo business sector ama
  6. mr mayormoney

    Mzumbe University Selection 2014

    Jaman nimeingia tcu nimechek nimechaguliwa mzumbe corse n bacc/baf ya local government ila kwenyw list iliyotolewa na mzumbe hyo corse haipo na wala sion jina langu sielew hapa plz ushaur?
  7. mr mayormoney

    Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Kwa maelezo yako mkuu mnapaswa nisubir nimendikiwa selected ila not yet confirmed
  8. mr mayormoney

    National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Kutokana na ubabaishaji tunao tendewa na hii inazidi kudhorotesha elimu yetu
  9. mr mayormoney

    Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Na mzumbe nako hakuna uhakika kwa watu wa equvalent to maana nacte hawaelewek
  10. mr mayormoney

    Udahili kupitia TCU na NACTE

    Ila kwa kuangalia tu wengi tuliomba kupitia nacte NACTE hatujapa nafasi na tumefaulu fresh tu
  11. mr mayormoney

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Jaman mzumbe na mucobs bado kama tayar tupeane link coz udom ishakuwa susu
  12. mr mayormoney

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Katika hvyo vipengere bcom ipo sehemu gan hapo
Back
Top Bottom