Recent content by Mr MAKALE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Tatizo wapigaji wanaweza kuchelewesha mchakato ko Bora TLS wamekumbusha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kumrithi Dkt. Bashiru Ally kwenye Ukatibu Mkuu wa CCM?

    Dk. EMMANUEL JOHN NCHIMBI. Ni Simba mwenye msimamo mkali aneyefaa kuwa katibu mkuu wa CCM anayeweza kuendana na Kasi ya CCM ya sasa vip upande wako Nani anafaaa? Naomba kuwasilisha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Kisiasa inawezekana. But CCM linapokuja suala la Urais ni ngumu kutabili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Yuko vizuri na ni dalili nzuri za Rais Hussein mwinyi kuibadilisha zanzibar. Watapiga kazi. Kila la kheri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea Morogoro, nimetambua kuwa duniani hakuna viumbe wanafiki kama Watanzania

    Morogoro umwinyi saana abood anawajua ndyo maana anasaidia maiti kuliko walio hai. Mi 5 tena
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea Morogoro, nimetambua kuwa duniani hakuna viumbe wanafiki kama Watanzania

    2025 namshauri asigombee maana jina halitorudi kutoka kamati kuu. Ujumbe kashapewa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    Mwanangu hawezi kuja kuwa polisi kwani risk ya kwenda motoni ni kubwaaaaa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya Kaliua na sakata la Mwalimu Johari kupigwa ofisini

    Hujapandishwa daraja na hata nyongeza ya mshahara huna halafu unazinguliwa eti na afisa elimu, eti mkuu wa shule, eti afisa elimu kata. Walimu msikubali kunyanyaswa kiasi hicho. Ukiona umetoa taarifa hawazifanyii kazi. Kusanya ushahidi halafu muundie kamati ya kumuweka sawa kwa namna yeyote...
Back
Top Bottom