Recent content by MR MAJANGA

  1. MR MAJANGA

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Najiuliza hapa trump kaomba msaada NATO wamemkatalia, ikatokea Israel na marekani wakashinda vita peke yao basi ulaya watakutana na dharau za kutosha toka Kwa marekani, Pia ulaya itawalazimu warudi kwenye meza ya mazungumzo na urusi kuyamaliza
  2. MR MAJANGA

    Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

    Hapa namaanisha wazungu kufanya afrika kama dampo yakutupia vitu visivyofaa
  3. MR MAJANGA

    Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    https://www.nps.go.tz/uploads/documents/sw-1708320157-KATIBA%20YA%20JAMHURI%20YA%20MUUNGANO%20WA%20TANZANIA%20YA%20MWAKA%201977%20%281%29.pdf
  4. MR MAJANGA

    Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inaeleza wazi kuhusu hali ambapo Rais aliyeko madarakani anafariki dunia au kuachia madaraka kwa sababu nyingine yoyote. 📜 Ibara ya 37(5) ya Katiba ya Tanzania Ibara hii inasema: Hii ina maana kwamba Makamu wa Rais anapochukua nafasi ya...
  5. MR MAJANGA

    Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    Rais Samia Suluhu Hassan anahesabika kuwa anahudumu katika awamu ya sita ya urais wa Tanzania, si kaimu tena. Hii ndiyo sababu: Machi 19, 2021: Alikula kiapo kuwa Rais kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Hii ilikuwa ni kukamilisha muhula wa pili wa Magufuli, ambao ulikuwa uishe 2025. Kwa...
  6. MR MAJANGA

    Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    Si kweli katiba inasema hii NI awamu ya sita, kama maghufuli angetawala miaka miwili basi ingekuwa NI awamu ya tano awamu NI ya sita kwakuwa muda mwingi katumia Samia kuliko maghufuli
  7. MR MAJANGA

    Mwendokasi Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara pekee

    Hatukatai kuwa serikali ya ccm imeoza lakini haiondoi ukweli watanzania ni wavivu, wajinga na hawana akili ya kufikiria Kesho na mabingwa WA kulalamika Hizi Kadi zilianza Kwa kuuzwa baadae wakasitisha kuuza wakawa wanagawa bure mchango wako NI kuweka nauli 1,000 lakini watz hawakwenda...
  8. MR MAJANGA

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kuna chama kunaitwa LIKUD haifai yaani NI wabinafsi na wanaroho mbaya kama wangekuwa madarakani wasingesita kutumia hata nuke 😀😀😀😀😀😀
  9. MR MAJANGA

    Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo

    Kwa kuwa kila mtu huchagua ambacho Hana, Mimi Kati ya akili na pesa nachagua pesa
  10. MR MAJANGA

    Simulizi ya Kijasusi: Hakuna aliye Salama

    Hongera Kwa hadithi nzuri tupo tunasuburia chungu cha pili
  11. MR MAJANGA

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Mkuu kumbuka vita NI mbinu na hakuna kanuni inayoongoza jinsi ya kumshinda adui
  12. MR MAJANGA

    Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine

    Kwa mtazamo wangu naona Ukraine kashindwa masharti ya USA na anachofanya NI Bora hiyo mikoa yenye madini akachukua urusi maana anajua urusi itawaachia umiliki wa madini hayo chini ya raia wa mkoa husika ambapo watanufaika kuliko kumuachia USA wananchi WA Ukraine hawata pata kitu
Back
Top Bottom