Sijui ni kwa nini unanchukulia mimi ni muongo,kwa kweli sijajua au ni kwasababu haujaniona?lakini naomba nikuakikishie mimi sio muongo kabisa ninamaanisha ninachokisema.labda unahtaji ushahidi gani? ntakupa.
Usimlaumu huyo,kwani sio yeye tu wengi sehemu nilizopita katika kutafuta suluhisho hawaamin hili tatizo langu ndio maana inakuwa ni ngumu hata kupata ufumbuzi wake
Ndio mkuu yaani hata lepe,mimi huwa nakesha siku zote tangu kipindi hicho.najua ni ngumu sana kuamini au kuelewa ila sijawahi kulala kabisa,yaani kabisa hata kidogo tangu mwaka 2008.
Sio wewe tu,hata madaktari bingwa wa magonjwa ya ubongo wamekuwa wakishangaa sana,wamezoea kusikia mtu ana kosa usingizi wa kutosha tu,ila sio kuukosa kabisa.
Ndio mkuu.mwanzo nilikuwa na tatizo la pingiri zangu za uti wa mgongo zimepishana lilipo malizika ndo tatizo hili la kukosa usingizi lilipoanza.na sasj limekuwa serious zaidi.
Mkuu sijawahi kulala tangu mwaka huo.dawa za usingizi nimetumia sana na naona tatizo linazidi kuongezeka zaidi.kwani zilinifanya mpaka nakosa nguvu kabisa.in short hakuna dawa ya usingizi ambayo sijawahi kumeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.