Haikuwepo. ILA nafikir iko vizur ..kumbuka hiki ni chuo cha kanda huwa walimu ni wengi.pia practical zipo za kutosha..kipo karibu sana na LIGULA..hospital ya rufaa. Hongera
Nilisoma hapo cl.officer. chuo kipo vizuri...na ufundishaji mzuri. Ila kwa sasa nimafikiri unatakiwa kujitegemea chakula maana hapo mwanzo ilikuwa huchangii chochot zaid ya laki tatu kwa mwaka kwa ajir ya ada.Pia utawala umebadilika kiasi..kwa hiyo jitahidi sana hasa clinical works ( mida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.