Asante sana kaka, wakati ninainunua fundi aliniwekea lita 3 kamili, sasa service nyingine imefika nimeshangaa wameweka zile 3 ikapimwa ikawa ipo chini ikaongezwa mpaka lita 4 ndio ikawa sawa. Nikawa na wasi wasi isije ikawa ni over filling
Wadau mimi nina spacio new model ya mwaka 2004, cc 1490. Naomba kwa mwenye kufahamu anisaidie kujua inaingia lita ngap za transmission fluid. Mafundi wetu wa mtaani wananichanganya sana. Naomba msaada kabla sija ua kabisa gear box ya gari yangu
Wadau mimi nina spacio new model ya mwaka 2004, cc 1490. Naomba kwa mwenye kufahamu anisaidie kujua inaingia lita ngap za transmission fluid. Mafundi wetu wa mtaani wananichanganya sana. Naomba msaada kabla sija ua kabisa gear box ya gari yangu.
Ninayo Toyota Spacio New Model, ni cc 1490 ya mwaka 2004, ingine 1nz-fe.
Kwa mwenye ujuzi naomba kujua hii gari inaingia lita ngapi za transmission fluid.
Naomba msaada katika ili wadau ili nisije nikaua gear box ya gari yangu, mafundi wa mtaani wananichanganya sana aisee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.