Sasa apa ndio toka nasoma comenti ndio nimepaelewa please ndugu unaweza tupa zaidi hizo tv nch 32 kwa bei hizo au chini ya hapo tuna toa wap yani machimbo ya hizo tv
Nina ndugu yangu katokea mbeya kaja apa mjini dar anasema mbeya mji wa wafanya kazi maana ajaona fulsa yoyote,kama unavyo jua mbeya hata kwa buku mbili unaishi siku mzima,sasa yeye ni dereva wa magari yote lakini anasema anaweza kufanya biashara huko aliko toka kaacha familia mke na watoto...
Shida ni huyo dada alitakiwa kuwa na shukrani atakama pesa haikutosha lbd next time angepata nyingine angemtumia, unajua nikwel wanaume tumekuwa tukitoa pesa kwa wapenzi wetu kwasababu tunataka kuonyesha tunajali.wazazi wetu wanapata asilimia ndogo sana ya kile walicho wekeza kwetu lkn wapenzi...
Naomba msaada natamani kufungua duka la vipodozi.
Naomba kujua je?
Hio pesa inatosha kwa kuanza na bidhaa tu maana frem na kabati la kioo tayari.
Mzigo naweza kupata wapi maana mm nipo mbeya.
Mazingila nayo kaa ni uswahilini na hakuna duka la vipodozi naomba ushauli wenu.
Kwa mtaaji wa 2.6...
Bwana wee nilikuwa nakaa kwa mshikaji wangu frani hivi kwao pale kwao palikuwa na mtoto wa dadake(anko) na mm akawa ananiita anko anko poa ikawa hivyo sikuwahi kufikilia jambo zaidi ya kumchukulia anko, mtoto kisu kisu kweli bwana bwana siku nimetoka mbishe zangu namkuta mtoto peke yake, pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.