Recent content by Mr Harrison

  1. Mr Harrison

    Barison Septic Solutions Co. Ltd

    BARISON SEPTIC SOLUTIONS CO Ltd, Ni kampuni inayohusika na system za choo ambazo hazijai na haina haja ya kuchimba mashimo makubwa ndani ya Nyumba yako, System inaitwa Bio digester kazi yake kubwa ni kula kinyesi na kubaki maji. Kuna system zenye ukubwa tofauti. Mita moja duara na mita moja...
  2. Mr Harrison

    Mbinu mpya ya CCM imegundulika

    Siasa za Tanzania ni udanganyifu CCM WANATUMIA kila mbinu lakini hawataweza.
  3. Mr Harrison

    Serikali ya Kikwete impeleke Lowassa mahakamani

    Lowasa safi RICHMOND NI MAAGIZO KUTOKA NGAZI ZA JUU alipewa mamlaka na mkuu wa nchi na alimwambia asiache kusaini mkataba ule
  4. Mr Harrison

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Mnazingua sana! amekamatwa kisheria au ni propaganda zenu za jamii forum na 7bu za kukamatwa zitakuwepo huenda waliona wakimkamata mchana kutakua na fujo zaidi! na watanzania walio wengi hawana elimu ya kujitambua wao wapo kishabiki zaidi badala ya kuacha mkono wa sheria
  5. Mr Harrison

    'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    Huyo mtu apewe adhabu kali kwanza hata wananchi waliomzunguka pamoja na huyo mbunge hawana uzalendo na taifa utapiga vipi picha na askari na wakati ni kinyume na sheria ya jeshi au nchi wanaona ufahari kupiga picha na jambazi kwanza huenda huyo mtu akawa ameshafanya matukio mengi ya uhalifu...
  6. Mr Harrison

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    huna sera wewe wakati wewe hapo ulipo unawaza utakula lini badala ya kusema watanzania wajitambue na kuondoa dhana ya umimi, CCM NI CHAMA AMBACHO KINA SERA ZAKE NA ITAKADI ZAKE HATA CDM WANA SERA ZAKE CHA MUHIMU NI MM NA WEW KUKUBALI KUFUATA SHERIA ZILIZOPO
  7. Mr Harrison

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    CHADEMA hawana sera ndo mana wanahaha, wanahofia CCM kuendelea kushika dola walianza na operesheni sangara, sasa M4C mwisho watakuja na perege
  8. Mr Harrison

    Majibu: Kwanini Nyerere hakuvaa sare za CCM?

    Waliosema hivyo ni wanafiki wakubwa wasio penda maendeleo ya taifa letu mnakosa hoja za msingi mnaanza kuongelea mavazi.
Back
Top Bottom