Recent content by Mr halfprice

  1. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Hapana boss hizo bado sijaleta maana ziliniishia
  2. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Sawa sawa tunacho post ndicho tulicho nacho hatuwezi post picha ikawa hivi na uhalisia uwe tofauti boss,bidhaa zetu ni za uhakika
  3. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Ni kweli boss Ila inategemea na kila mtu sehemu anapochukulia mzigo wake boss wangu,au wengine wanaweza kuchukua saa kutoka kwetu kwa bei ya jumla naye anakuja kuuza na lazima aongeze faida kidogo ili naye apate chochote kitu so wewe angalia panapokufaa kuwa mteja wa kudumu na kwa Wanao elewa...
  4. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Ni kweli baadhi ya watu hufungwa kuoa au kuolewa au hizi ni Nadharia?

    Mtu akifungwa Cha kwanza lazima awe anakua hawezi kuolewa Wala kuoa anaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakin hakuna mtu atakaye muoa au kuolewa,pia kufungwa mtu anaweza kufungwa kiroho yaan vinaitwa vifungo vua Rohoni na nafsini,hivyo Basi huenda mtu kufungwa Hisia zake,Moyo wake utashi...
  5. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Hapana boss hiyo imeniishia boss wangu Mr.Watches
  6. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Mikanda ni 15,000 boss pia hata ukihitaji na battery zipoo Mr.Watches
  7. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Yes boss Mr.Watches
  8. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Yaah ni kweli boss Ila Naviforce hazielewekagi Bei Sana huwa zinapanda na kushuka Ila pia zipo za level 2 Kuna used ambazo zinatoka China ingawa zinafungashwa Kama mpya ndio hizoo unakuta 35 wengine 40 boss pia zipo mpya kabisa so ni kila mtu anapochukua mzigo wake boss Mr.Watches
  9. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Sawa boss usijali Mr.Watches
  10. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Ohoo sawa sawa boss umeuliza vizurii sana,ni kwamba kwa Sasa hatuna Duka boss Nina store tuu ambayo ipo nyumbani kwangu hvyo mteja akihitaji bidhaa yoyote Basi anafanyiwa delivery mpaka alipo kwa Dar pekee pia Kama mteja akiona Kuna saa or bidhaa aliyoipenda na akataka kuona picha uhalisia...
  11. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Hahaha hapana boss ndio maana nikakuambia zipo za level tofaut tofaut na mteja ajapo kwangu namueleza ukweli yaan kuwa hii ipo hivi ni Bei fulan na hii ni Bei fulan tofaut ni ubora so lazima niwaeleze ukweli wateja wangu maana hii ni biashara boss wangu na mfanya biashara mzuri lazima awe mkweli...
  12. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Kama unahitaji picha ya bidhaa halisi Basi ni vyema ukaja inbox boss wangu pia India Shaka picha iliyokuwepo hapo ndio sawa na picha halisi sema tuu hapo ni Camera boss pia unavyoona hapo ndivyo zilivyo siwezi onesha picha iko hivi na uhalisia uko tofauti boss Mr.Watches
  13. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Kila mtu anachukua bidhaa kulingana na uwezo wake pia Casio ninazo za level zote sio hizoo tu boss wangu Mr.Watches
  14. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Sawa boss nitext WhatsApp ili nipate namba yako 0658749848 Mr.Watches
  15. Mr halfprice

    JamiiForums Tanzania Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Sawa boss sorry typing error ni 65,000 Mr.Watches
Back
Top Bottom