Recent content by Mr George G

  1. Mr George G

    Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

    😀😀😀😀😀😀😀
  2. Mr George G

    Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

    Mada nzuri sana mkuu, ukitoa fungu la kumi ni umetoa sadaka, maana yake 10% ya Faida yako unatoa gawio kwa mungu wako. Sasa hapo maana yake ni kwamba mungu naye ni moja ya wammiliki wa hiyo biashara maana kila ipatikanapo faida na yeye upewa. Hakuna na haitotokea kamwe mtu ama kitu kibaya kuja...
  3. Mr George G

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hamna kitu,request chache na nauli ni ndogo mno
  4. Mr George G

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN ukija dodoma nitafute kaka, taxi mtandao ipo ila utalipia nauli za uber sio bolt😀😀😀
  5. Mr George G

    Natafuta gari ya ml. 4

    Hela ya mafuta unayo sh ngapi?🤔
  6. Mr George G

    TRC wanakwama wapi? Kwanini wanashindwa kufanya mambo kisomi na kupoteza radha ya SGR?

    Hapa tupo mkata kwa mbele kidogo trend imesimama zaidi ya dakika 30 na hakuna taharifa yeyote, joto kali na kawasaki kufungua madirisha tupate hewa
  7. Mr George G

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Jamani, huyu ndugu yetu Insider man yupo salama kweli?. Mbona kama amekaa kimya mda mrefu?
  8. Mr George G

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    I think she is not cheating but the guy she is chatting with is GAY
Back
Top Bottom