Pasina kutilia mashaka hilo ni Tatizo la kisoftiwea { Software problem }
Na huwa inatOkea
Zipo njia kazaa za kutatua Tatizo hilo.
Unaweza ukaifikisha kwa wataalamu wa Software za simu nawatakutatulia Tatizo lako >Maana Tatizo lako linatatulika kwa 100% √...
Mambo vip?
Pole kwa Tatizo la kiufundi Lililojitokeza
Hata ivo ni kawaida KutOkea ivo Kuwa na Amani.
Umeshafanikiwa kutatua TaTizo ?
Kama bado Niko Kutoa Msaada
Tucheki +255 675 803 318 WhatsApp
Kwa msaada zaidi wa Kiufundi
Technical Expert...
Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila ilipoanza kufanya zoezi la kusoma percentage baada ya ku-react password, ilisoma percentage siku nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.