Recent content by Mr fedha

  1. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Wewe unasema lakini ukisoma vizuri post inamnukuu Manara kasema ni project ya serikali ndo maana nikauliza ni lini serikali ameanza kuwa na hizi project za kidini? Na je kama kweli ni project ya serikali je vipi kwa upande wa makanisa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Haukujengwa na serikali bali ulijengwa na rais wa Libya kwa wakati huo. Hatujasema serikali izuie mashirika, watu binafsi au serikali za nje zenye mlengo wa kidini kutoa msaada au ufadhiri wa kujenga nyumba za ibada. Hoja iliyopo hapa ni kwamba ni sahihi kwa mjibu wa taratibu zetu hapa Tanzania...
  3. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Na pia ni kujenga chuki kati ya serikali na wakristo au wapagani. Na dhana ya serikali haina dini itakuwa imezikwa kabisa na kuwa na dola ya kiislam Tanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    SAhihi kabisa yule jamaa ni mtu wa maslahi binafsi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Kwa hiyo hawataki kusema ukweli wanazunguka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Hiyo taarifa sina mkuu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani Kadukua Mitandao ya Serikali ya Tanzania? Je, Vitisho vinasaidia?

    Wazee wa vitisho na makanusho!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nani Kadukua Mitandao ya Serikali ya Tanzania? Je, Vitisho vinasaidia?

    Hao wa Cyber ni hewa na wao ni kufuatilia wewe unaandika nini hapa jamii forum basi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Nice, lakini bado unakwepa kidogo, je kwa mjibu wa katiba, sheria, taratibu, kanuni pamoja na miongozo yetu kama taifa la tanzania, je ni sahihi kusema ujenzi wa msikiti ni project ya serikali?
  10. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Hilo nalo neno na hasa kwa huyu Ngosha yeye muda wote ni mzee wa furusa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Na hasa Mh. Manara nashani huyu jamaa anatakiwa awekwe kwenye semina elekezi anolewe hasa juu ya uelewa wake kwenye mambo ya kisiasa na kiuongozi. Ana kitu kinachoitwa " lack of leedership skills". Kuna vitu anakurupuka navyo hasa katika kuongea hajui impact zake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Sijakataa na endapo ungejipa muda wa kusoma post vizuri ungeelewa namaanisha nini. Sijakataa mtu binafsi kwa utashi wake kujenga nyumba ya ibada, bali nimezungumzia kauli ya Mh. Diwani Manara na nimeinukuu yeye amedai hiyo ni project ya serikali. Ndipo nikauliza je ni kweli serikali inayo hiyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- " Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
Back
Top Bottom