Recent content by Mr Eko

  1. Mr Eko

    The Horse

    "Jenny was the name of the horse I bet on" Hahaha Jamaa ni super intelligent maana kutoa jibu kama hilo kwa haraka sio mzaha. Au pengine kila kitu hukipa hilo jina. Wife ajaribu kwenda kwenye email ya jamaa aweke Jenny kama password
  2. Mr Eko

    Does honey have legs?

    Chumba kimoja, watoto wametengewa upande wao kwa kanga
  3. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    johnj Faida inayopatikana kwenye mauzo ya hizi computer si kubwa. Ukisafirisha computer 5 tu hiyo faida ndogo haitakuwepo tena. Unaweza kutafuta wenzio wawili, kila mmoja akichukua computer 8, mipango ya kufikishiwa mzigo wenu itafanywa. Ikitokea mtu kaagiza computer 30 Morogoro, hapo sio...
  4. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Buswelo sijaelewa vizuri swali lako la mwisho. Ndiyo, Microsoft Office inaweza kuwekwa.
  5. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Mhafidhina Ungependa kuongeza memory hadi kufikia kiasi gani? Tuchukulie mfano, p4 ... >2.4ghz ... 512mb ... >40gb Kuna uwezekano mkubwa zikawemo memory sticks 2, kila moja 256mb. Kufikia RAM ya ukubwa wa 1GB sio tatizo ila pengine utahitajika kununua madukani. Kwa production...
  6. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    SHukrani mheshimiwa. Naomba unielekeze mahali walipo lion china computer nikifika kisutu niulizie. Computer zina XP pamoja na Anti virus. Hakuna MS Office.
  7. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Niongezee kwa kusema kwamba kuuza computer sio jukumu kuu la hii kampuni. Hii ni NGO ambayo imefika wakati sasa ijitafutie fedha kujiendesha badala ya kuendelea kutegemea wafadhili. Na ndiyo maana nimethubutu kuweka hili tangazo hapa.
  8. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Mzozo, kampuni iko Moshi. Kwa anayetaka nimpe jina la website yao anitumie private message nitamjibu. Kwenye website kuna information nyingi na pia utajiridhisha kufahamu hii kampuni inajishughulisha na nini. Mkoa wowote zinaweza kuletwa ila bei itaongezeka kidogo kwa sehemu fulani fulani...
  9. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Shukrani kwa wale mliopiga simu. Nilisahau kusema kwamba hizi ni Desktop, kwenye mzigo huu hakuna laptops. Next time perhaps. Cheers
  10. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Namba ya regional manager hii hapa: 0715-270879
  11. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Poa mzee, ngoja niwasiliane naye kwanza. Nashukuru kwa ushauri
  12. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Hahahahah I'm just doing someone a favor, sitegemei kunufaika kwa kujishughulisha huku. Kama uko mtandao mwingine ukini-beep sitakupigia. Ndicho nilichomaanisha maana sina kawaida ya kujibu mtu aki-beep.
  13. Mr Eko

    Naomba msaada - ACTS of parliament

    Asante ngereja, Wizarani ndiko nilikopata msaada.
  14. Mr Eko

    Computers za jumla zinauzwa

    Ni computer used/refubished. Computer maker: HP, Dell, na Compaq. Bei: P3 ... >700Mhz ... 128MB ... 10Gb ...167,000 P3 ... >900Mhz ... 256MB ... 10-20Gb ... 197,000 P4 ... >1.2Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 212,000 P4 ... >1.5Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 228,000 P4 ...
Back
Top Bottom