Recent content by Mr disprin

  1. Mr disprin

    Netanyahu kumfuata Rais Magufuli Ikulu na deals kubwa kubwa

    Neta na trump leo hii ni chambo .marekani tusubiri tuone shangilia sana
  2. Mr disprin

    Yvonne Chakachaka atamani kukutana na Rais Magufuli. Ampongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

    Mmmh wewe umekula kidogo 1.5 ndo maana unakenua meno
  3. Mr disprin

    Nahitaji kuonana na Rais Magufuli kumuelezea ukwepaji mkubwa wa kodi nilioushuhudia

    Vipi unataka teuzi au hebu ukifika uko wa rais tupe hesabu za 1.5 tirion .vinginevyo wacha waibe tu
  4. Mr disprin

    Katika dunia nzima ni Tanzania tu kuna mwenge, hivi ni wa nini?

    Nini uzezeta tu wa tz,mwenye ni sawa waganga wa jadi eti uleta amani,amani uletwa na vyombo vya ulinzi na usalama cyo mwenge
  5. Mr disprin

    Naipenda JamiiForums kuliko

    Wadau ongera kwa elimu nzuri mnazo toa kwa jamii
  6. Mr disprin

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Kutibiwa nje nchi siyo shida ni kodi zetu siyo za ccm fungu domo bwege wewe
  7. Mr disprin

    Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

    Kweli mkuu wachemshe mindege yao
  8. Mr disprin

    Orodha ya wabunge wanaotumia vibaya madaraka yao ya kibunge

    Mwandishi kichaaa,ulitaka apongeze tu ndo shida yako
  9. Mr disprin

    Mbunge Peter Msigwa wa CHADEMA amsifia Rais Magufuli kwamba anajali vyama vyote

    Msigwa amerogwa lakini cyo rahisi kibadili fikra za watanzani,ccm furaha yao upinzani ukosee
  10. Mr disprin

    Jeshi la Polisi Tarime latoa msaada wa chakula na maji kwa familia ya mbunge wa Tarime John Heche

    Kumbuka kauli ya mkuu polosi nipo nyuma yenu msitishwe na mtu yoyote
  11. Mr disprin

    CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

    Mpaka yesu aludi maana anafaa kuwa kiongozi,jasiri ayumbi kwa msimamo hanunuliki safi sana mbowe adumu mbowe idumu chadema
  12. Mr disprin

    Sauti Kubwa: Kikwete anajilaumu, angemjua vema Magufuli asingempa Urais

    Hahahahaha wacha nicheke nselema nselema
Back
Top Bottom