Recent content by mr culture

  1. M

    GE2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

    Amesemea sasa ndani ya nchi si mmpeleke mahakamani, akathibitishe unajiliza Liza huku ili iweje nyie ni mashetani tu.
  2. M

    Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

    Haki ya kujipangia rambi rambi zetu bila kuingiliwa na mtu, Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  3. M

    GE2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

    Mkurugenzi huyu si ndo aligoma kutoa form ya uteuzi kwa mgombea wa chadema
  4. M

    CHADEMA itakosekana katika orodha ya kihistoria ya wajenzi wa Ikulu

    Ikulu ijengwe na walipa kodi wa Tanzania,harafu CCM wanajimirikisha akati wao ndo mabingwa wa kukwepa kodi
  5. M

    GE2020 Waitara: Nimeisambaratisha CHADEMA Ukonga, sasa nahamia Tarime Vijijini

    Hicho ndo alitumwa na wananchi akifanye Ukonga,mijitu mingine sijui huwa inatumia nini kufikiri
  6. M

    Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

    Kwani upelelezi wa mambo leo uliishia wapi maana mrejesho hakuna mpaka mzee katokea kininja hadharan
  7. M

    Orodha ya yanayoweza kuwa mashtaka ya Mbowe na wenzake

    Asee!!Nadhani na ile trioni1.5 aliipiga mwamba walai mwanangu akija kuwa shabiki wa kijani atafute baba mwingine maana akili mshashikiwa
  8. M

    Orodha ya yanayoweza kuwa mashtaka ya Mbowe na wenzake

    Hivi ni kwanini ukiwa Ccm akili nazo zinahama inamaana miaka yote Mbowe alikuwa anafanya hayo yote na CAG akikagua anaona safi tu,Ujinga wa kupambana na Mwamba kijinga kamwe hamtofanikiwa,Kwa maana mnapambana na Mungu bila nyie kujua lazima aibu itawarudia tu
  9. M

    Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Kaoa mgogo,kaambukizwa na ujinga ovyo sana watu wa namna hii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Serikali inaomba wananchi kuchangia fedha za kupambana na COVID-19?!

    Yaani wao wameshindwa hata kutoa posho ya siku moja tu bungeni kuwachangia wahudumu wanataka sie maskini ndo tuchange Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Iringa: Waziri wa Ardhi, Mh Lukuvi agawa TV 40 vijiji 60, aagiza ziwekwe maeneo ya wazi ili wananchi waangalie wapate elimu juu ya COVID-19

    Ubongo unaotumiwa na viongozi wa ccm nadhani huwa wanaazima maana hii sio akiri ni uzwazwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    CHADEMA yatafakari kuwapeleka wabunge wake waliovunjwa vunjwa na polisi nje ya nchi kwa matibabu zaidi , Corona yaleta vikwazo

    Ila kuna upumbavu mwingine unaandikwa na mijitu utadhani sio binadamu wa kawaida,shame to you Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Kwani wao si ndo walishindwa kufunga mipaka kwa njaa zao corona ikaingia,hili Serikali hawana wa kumsingizia Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Sasa hichi umeandika nini,rubbish Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

    Sisi kama Bavicha tunaungana na Marekani kumzuia kujumuika katika shuhuli zozote zinazotuhusu hapa Dar,Mpaka atakapokanusha kuhusika na tuhuma ambazo ametuhumiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom