Recent content by Mr consolation

  1. Mr consolation

    Yasipotokea haya tarehe 8 Machi, 2025 Kipigo kipo pale pale kwa anayepigwa kila mara

    mhm!! siku hizi nakuamini sana, ila leo umenitisha kidgo...ngoja tusubili mda ufike..
  2. Mr consolation

    Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

    i'm in a second stage...nikimbembe
  3. Mr consolation

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    singanojr naomba uelekeze jinsi ya kufungua account huko FASIHINET...maana nimejaribu mara nyingi ila nimeshindwa...
  4. Mr consolation

    Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

    kwanza kupigizana kelele na mtu aliyeshindwa, ni matumizi mabaya ya mda....vyura fc endeleeni kulopoka, sisi ngoja tusubilie mech..hata hivyo tarehe 2 mwez wa 4 sio mbali sana.
  5. Mr consolation

    Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

    wanashiriki kombe gani?
  6. Mr consolation

    Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

    lakini mnakaribishwa kuja kujifunza..maana simba ni zaidi ya darasa kwenu..naona waarabu bado mnawaogopa sana..
  7. Mr consolation

    Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

    Al masry wenyewe hawaamin...wanalia na kusaga meno...wanajiuliza imekuwaje wakapangiwa timu ngumu kama ile..... Simba ni miongoni mwa timu tishio barani Afrika..lazma waje kwa tahadhari kubwa....enyi wapiga kelele endeleeni kubwatuka, ila UBAYA UBWELA uko palepale....we are on the way to the...
  8. Mr consolation

    Maisha ya depo

    dah!! hakika unajua,,pokea maua yako mkuu...
  9. Mr consolation

    Maisha ya depo

    hadithi njoo, utamu kolea....ahsante kwa burudan ya ubongo...ukileta mwendelezo uni-tag...
  10. Mr consolation

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    hellow!! mr singanojr...unampango gan ety?...leta mwendelezo mkuu
  11. Mr consolation

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    singanojr we are waiting for you...
  12. Mr consolation

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    mhm!! kwa walichomfanyia wale waarabu, sizani kama atapata nguvu za kuleta mwendelezo....
  13. Mr consolation

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    mhm!! ngoja tuone kati ya rekcha na huyu saidi, nani atakuwa fundi zaid...mnaojua uhusika wa rekcha kwenye ile "nilimdhania kahaba kumbe bikra" mtakuwa mmeelewa ninachomaanisha..
Back
Top Bottom