Recent content by Mr connecter

  1. Mr connecter

    Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Nisha lekebisha makosa ya kimandishi nadhani sasa nimeeleweka vizuli
  2. Mr connecter

    Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  3. Mr connecter

    Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Sawa kaka Nauliza kuhusu Msamaha wa katibu mkuu wa bodi ya uwalimu wa special diploma ya sekondari je kwa mwaka huu upo kwa wake waliopata division three na kufeli somo moja hupo
  4. Mr connecter

    Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  5. Mr connecter

    Tikitimaji Zao ambalo laweza kukupa mamilioni ndani ya siku 75

    Ndopale unapofanya swali la hesabu unaambiwa utafute umri wa Babu na mjukuu, unapata majibu mjukuu Ana umri mkubwa kuliko wa babu......
  6. Mr connecter

    Msaada kuhusu mkopo wa vijana Halmashauri

    Nashukulu kiongozi kwa mchanganuo huo , mkopo huu apewi mtu mmoja pekeyake mpaka kiwe kikundi tu pekeyake?
  7. Mr connecter

    Msaada kuhusu mkopo wa vijana Halmashauri

    MSAADA WA KUFAMU JAMBO KUHUSU MKOPO WA SELIKALI Habali wanandugu; Mimi ni kijana wa makamo naomba kuuliza jambo. Huwa nimesikia kuwa katika hii nchi yetu huwa inatoa mkopo kwa vijana kwa wajasilia Mali na wakulima vijana na fungu hilo lipo katika bajeti ya serikali na hupelekwa kwa kila mkoa...
  8. Mr connecter

    Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

    Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi kikawaida maana Kuna dogo hapa anatia huruma kwakweli nataka nimsaidie kwa hili halikuwa anasumbuliwa na...
Back
Top Bottom