Recent content by Mr Confidential

  1. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kigamboni Tundwi Songani

    Weka bei na ya kila kimoja
  2. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Tunakufa Kwa ajali Sometimes sababu Ya usalama Mdogo wa Magari yetu

    Kama hujawahi kunusurika /kupata ajali huwezi kumuelewa mleta mada
  3. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wazee, jamaa kapewa Red card ya nini
  4. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani au kituko gani ulikifanya siku ya kwanza ulipoajiriwa?

    Wewe ni msukuma bila shaka😂😂
  5. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

    Nashukuru sana mkuu, La mwisho: Naomba nsaidie Roughly service budget (vitu vya kufanya on monthly basis, ikiwemo Kusafisha air filter), plus fuel (60 km/ day kwa 3 days a week) ili inisaidie ku-update kwenye monthly budget. Si lazima iwe accurate, ni estimate tu mkuu. #Life is too short to...
  6. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

    Hili embu tuwatag wataalamu wa kuagiza magari watusaidie Yetu motors etc
  7. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

    Asante sana mkuu, Kuna kitu kipya nimekipata hapa. Naomba nsaidie Roughly service budget plus fuel ili inisaidie ku-update kwenye monthly budget Naomba nisaidie na no 3 na no 4 kama hutojali.
  8. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani au kituko gani ulikifanya siku ya kwanza ulipoajiriwa?

    Nilipata offer sehem nyingine
  9. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani au kituko gani ulikifanya siku ya kwanza ulipoajiriwa?

    We Acha tu, nlipokea salary ya kwanza nikasepa
  10. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani au kituko gani ulikifanya siku ya kwanza ulipoajiriwa?

    Nlienda ofisini na nguo za mtaani (tshirt na jeans kama sikosei), ilhali ilikua ni corporate . Boss akanipeleka kwa hr. Nikapigwa bonge moja la email ya dressing code
  11. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

    Wakuu natumaini ni wazima wa afya. Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015 Personal details Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4) Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road. Safari za...
  12. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dk 53 Man Utd 1 Brighton 2
Back
Top Bottom