Recent content by Mr Chromium

  1. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

    nimesoma jinsi walivyotawala rwanda na burundi kipindi hicho cha mwami nilishangaa kama unavoongea mkuu
  2. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    bila hyo kagame ana kua irrelevant
  3. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  4. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Wewe na wenzio ndo Traitor wa africa!! Watu wabaya sana nyie
  5. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    kama ni kupewa haki mbona mnaiba na madini?? Ni uporaji tu
  6. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    kumbe basi nisijisumbue kumuelimisha
  7. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Sasa kama unatetea mauaji ya watu ili kupanda kiuchumi ! Nitakuelezea nn uelewe! Wewe ni shetani na shetan huwa haelewi
  8. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Mkuu wa interharamwe alikua ni mtusi! Mkuu uko nyuma ya muda😂
  9. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Hiyo ilikuja miaka mingi ya oprression!! ndio ilitengeneza ideology za ivo!! Ipo had leo kutokana na wanayofanyiwa.
  10. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Kuna research nyingi zitafute zimefanywa Reanda! ukabila upo umejaa hata humo twitter wanaitana mbwa (hutu) ni ww tu unaamini haya maigizo ya kagame! lakini kama unataka kujua ukweli utaupata ukiutafuta
  11. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    si kweli! Haziwezi kumtoa mtu anaewaibia madini
  12. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Unawlewa cost ya 16B $ za rwanda wameipata kwa kuua watu milion 12
  13. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    mkuu ww kichwa navokuaminia hujui hii!! Hata uongozi wa serikali ya rwanda huujui?? hujawai sikia hata Apartheid in rwanda??
  14. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Walaaa!! sema kagame ni mkabila
Back
Top Bottom