Recent content by Mr Chloramphenicol

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Wapo kwa ajili ya kupiga pesa za kuhuisha leseni pamoja na full registration. Ila nasikia wafanyakazi wa MCT hapo kambarage towel Dodoma wana hela sana unakuta mtu tu wa reception ana miliki ndinga yenye cc zaidi ya 2000. Nilitegema kwa pesa wanayoipata MCT wawe na office zao na hata wawe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO CCBRT Hospital hailipi wafanyakazi kwa wakati

    Pole sana, pesa inaonekana ipo lakini inaliwa na viongozi wa juu, posho perdm na safari za mara kwa mara. Vilevile wanachota pesa na kuendesha miradi yao binafsi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

    Paka pilipili au spirit mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Vicky Kamata ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa TAWA!

    Peponi hautofika wewe jamaa 😂😂😂
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kuibia wateja waziwazi

    Mwezi march
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kuibia wateja waziwazi

    Habarini za jioni, kwa kweli leo nimepata changamoto kubwa kwa kuliwa pesa yangu. Tufupishe mada mimi nipo wilayani Kisarawe nilivuta umeme tarehe 7.2.2026 na kuanzia hapo nimekuwa nikikatwa kodi ya jengo kila mwezi tsh 1,500/=, cha ajabu leo nilitaka kununua umeme wa tsh 10,000/= muamala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia kabisa Elias Kihombo yupo overrated, anakuzwa na alijikuza mno ila alikuwa wa kawaida sana

    Ni kweli nakumbuka A level kuna msela mchana anassolve CHAND na vi pamphlets vya mudi commissioner ila night kali anasolve Roger Muncaster
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia kabisa Elias Kihombo yupo overrated, anakuzwa na alijikuza mno ila alikuwa wa kawaida sana

    Elias kihombo sio wa kawaida ndugu yangu, matokeo yake ya form six average ya 99%. Ameacha mchango mkubwa sana kwa jamii. Na hakuwa ana solve physics pekee. Alikuwa ana uwezo wa kufundisha chemistry, physics na A/mathematics siku nzima na kusolve maswali yaliyoshindikana. Kingine alikuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kinachofanyika Uhamiaji tukikinyamazia Watoto wetu watakuwa watumwa katika ardhi yao, kuwe na usawa

    Kweli sisi majitu ya bara ni yenye roho mbaya mno, bora hata watu wa pwani kidogo. Zikitokea scholarships za kwenda China, Serbia au uturuki yanawekana yao kwa connection. Zikitokea nafasi za manesi kwenda Saudi Arabia yanawekana kwa connection. Zikitokea nafasi za kwenda kupiga boda na Bajaj...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Gari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada Kibondo

    Ngoja nijiandae kwenda kuharibu mnada kama alivyofanya dr Luis Shika
Back
Top Bottom