Ni kitu gani kinachofanya chama cha siasa katika kizazi hiki cha Gen Z kujenga ushawishi na kuaminika kwa wananchi? Je, ni jina la chama cha siasa, aina ya viongozi wa chama cha siasa, uwezo katika kutekeleza sera zake au historia ya chama katika kuongoza nchi?
Toa maoni yako
Hivi ni kwa nini kizazi cha Genz...kinapitia changamoto katika issue nyingi kama vile...mahusiano ya kimapenzi, wafanyakazi walioajiriwa kwa watu binafsi,,,,we unazani nini kinachofanya kizazi hiki kinapitia changamoto.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.