Kuna after shave moja inatoka south africa inaitwa BUMP solution bei yake ni elfu 7 tu, nikachupa kadogo na maranyingi zinapatikana maduka ya madawa yale makubwa ni nzuri sana na hiyo haijawahi kushindwa kuondoa vipele, mimi pia nilikuwa muhanga wa vipele kidevuni ila sasa niko vizuri hakuna...
Hilo hasijaribu kabisa itamkata mazima, yaani kama alipanga atapata 10M utashangaa mpaka anamaliza kuuza mbao zake ana 4M baadaya ya kutoa gharama zote, kuna kitu kipo kwenye mbao mtu anayepasua mbao unaona misitu yake anauzia wafanyabihashara wengine wakupasua sio yeye anapasua ingawa na yeye...
Mzee tatizo mnakalili sana mkisikia mtu akiwaambia ukiwa na miti heka moja wewe tajiri(haya mambo nayaona sna humu JF kuwa baadaya miaka 10 eiti unashika milioni kadhaa e.g. 20Milioni ahahahah) mtakuja kufa aisee mkikutana na ukweli kwenye ground, kiukweli miti ni changamoto sana na bei ya elfu...
Mkuu inategemeana na sehemu, sisi huku mikoani kipindi cha mvua ndio kipindi cha kupiga hela sana tofauti na kiangazi kwani magari mengi yanakuwa yameoga tope hivyo hata uwe bahili vipi lazima uje uoshe gari yako
hapo kaka kuna changamoto sana hasa kwenye bei ya mahindi mabichi na mara nyingi bei ni Tshs 150 na ikiwa bei nzuri inafika Tshs 200/= ingawa kwa nadharia unalosema kwa hekari kupata mahindi 29400 hapana mkuu, na sisi wakulima tungekuwa tunapigania huko huko kwenye mahindi mabichi alafu hekari...
Pia mkuu Ze Farmer bihashara yeyote unapiga hela sema yatakiwa kuzingatia vigezo na masharti yake tu la sivyo wenzako watakuwa wanachanja mbuga wewe kilasiku ni mtu wa kuanzisha bihashara mpya na kuhiachia njiani hata mafanikio yake hutoyaona kamwe
kwa watu kama sisi ambao twafanya rejareja yaani kukoboa na kusaga kwaajili ya wanamtaa/wanakijiji unatakiwa angalau uwe na kuanzia 8-12 milioni na inategemeana sana na suala la unajenga au unapanga, vile vile mjini au kijiji kwani kuingiza umeme bei ni tofauti kwa mfano kijijini umeme wa 3phase...
🙏🙏🙏🙏
Nadhani hapo naposema kinu namaanisha kwenye kukoboa na kusaga ikiwa katika hali ya size zote ziwe 75, ila kwenye suala uliogusia la 50Hp ni zuri ila ulaji wa umeme nadhani utaweza kimbia labda kama unavyosea hivyo nija ya kutumia gearbox ambayo ndio maujanja hayo nayapata hapa
Ila pia...
Mkuu nimeona nami nitie neno hapa kwani mchanganuo wako hapa janvini nimeupenda ila mimi ni mtu wa rejareja nataka kuwin soko la usagaji hapa nilipo kwa kuboresha quality ya unga naosaga kwenye mashine yangu ila kuna mtu alinishauri nichukue kinu cha size 75 na motor 30Hp ndio itatoa unga kama...
Ndugu yangu wateja wengi sana cha kwanza anachoangalia ni bei alafu kuanzia hapo ndio atauliza mambo mengine kuhusu bihashara yako ndio watanzania wengi tulivyo tuko price conscious. Hata mimi kama mtu kaweka tangazo bila bei hapo hata kujiuliza mara mbili kuhusu bidhaa yake hakuna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.