Recent content by mr brill

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya assistant procurement

    Ndugu Mimi pia nimesoma bachelor ya kozi hiyo hiyo, mpaka leo sijapata kazi. Mshauri aanze na kazi yeyote kutafuta, hasa related kama marketing, ass acountant, sales, stores mgt, supplies, halafu hata ajitolee , mimi hapa najitolea mahala fulani japo mwanzo sikua napata kitu, lakini sasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Part Time Job

    Kesho nafanyia kazi, au umeshapata?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahala pa kujishikiza kitaa kinachosha

    Thanks
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Hard Resert kwenye Huawei p6

    Stil doesnot work, hata kureset haitaki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Hard Resert kwenye Huawei p6

    Nimejaribu power down kama ulivyoelekeza, but still haikubali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Hard Resert kwenye Huawei p6

    Habari wanajukwaa, nimenunua huawei p6, kwa mtu ikiwa na android version 4.4.2, nimejaribu kufanya hard reset kwa kuenda kwenye setting na pia kwa ku-click power button and volume up, lakini njia zote zinaishia kwa simu ina stuck ikiwa ina restart kwenye logo ya kuwakia mpaka nihold power...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Hao kuku kwani ukiajiriwa hauwezi kuwafuga? Watu wanatafuta huo mtaji hata kama ni laki hawana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Tupo pamoja, mimi pia nimesoma bachelor ya procurement and supply. Wadau sijui watatusaidiaje
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahala pa kujishikiza kitaa kinachosha

    Habari wana jukwaa, mimi ni kijana niliyemaliza bachelor ya procurement and supply, Natafuta kampuni yeyote au ofisi inayojihusisha na logistics,procurement,customer service, business,stores or related activities nifanye nao kazi hata ikiwa kwa kupata nauli tu na pesa ya chakula, Angalau niwe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Interview Mpower Energy

    Utamalizia oral, nifate onbox for more
  11. M

    JamiiForums Tanzania Interview Mpower Energy

    Then utafanya panel discussions, hapo wataangalia participation.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Interview Mpower Energy

    Utarudia rest ulofanya online, ole wako upate below ya uliyopata mwanzo bila calculator n cheating
  13. M

    JamiiForums Tanzania Interview Mpower Energy

    Kwanza utarudia test uloifanya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maswahibu yalonipata ajira za MPaWa/MGRID

    Wao wamezingua, wametuma mail after deadline,pia mbona mail inasema ni tarehe 19. Wamejichanganyya nini hawa, Hivi hawapo humu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maswahibu yalonipata ajira za MPaWa/MGRID

    Nimetumiwa email leo jioni, niloyakuta yaoneni wenyewe kwenye attachment.
Back
Top Bottom