Recent content by MR BENNY

  1. MR BENNY

    Kiwanda cha ceiling boards cha tanzania kipo wapi?

    Hawa namba zao ninazo nitawapigia mkuu ahsante kwa taarifa
  2. MR BENNY

    Kiwanda cha ceiling boards cha tanzania kipo wapi?

    Wakuu msaada wenu tafadhari, kuna zile Ceiling boards za Tanzania, ninaomba kwa anayefahamu kiwanda chake kipo wapi na kinaitwaje? Ninatanguliza shukran zangu za dhati kwenu nyote
  3. MR BENNY

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    RFA walikua wanaipiga promo hii Bia miaka hiyo ya 2000's nilijua hiyo ndio bia pekee hakuna nyingine..utoto bana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Wanakuja mkuu, hawa watu tuwaheshimu sana maana wanavyotupatia hakika vimetukuka kwaubora wote Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    29 mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Unamaanisha kila mjane anamaradhi sio? Acha kukaza akili mkuu usidhani hilo hatilijui, kupima afya nimuhimu tena watu hao huwaga wapo serious sana huwezi kuwakurupukia kimasihara kama hawa dada zetu.. wanahitaji protocols maana wanajijua wao niwatu wazima hivyo wanahitaji mtu mwenyekujielewa...
  7. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Huyo hafai... harafu baharia kamili hachukui mke wa mtu bilashaka umejifunza kitu so next time chukuwa aliye single maana hao ndio wazuri zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Watu wamepewa midomo yakusema lakini wewe ndiye muamuzi wa hisia zako... wanaokusema pengine wanawaume zao ama wanawatu wao wanawakidhi haja zao sasa wanakuwa hawamuangalii huyu aliye mpweke... tupijitafutie furaha zetu wenyewe tusisubilie kupewa kutoka kwawatu wengine Sent using Jamii Forums...
  9. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Hao wagane sasa ndio hawataki wazee wenzao, wanataka mabinti wadogo ndiomaana hao wamama wanajikuta wanakuwa wapweke at the end wanatengeneza mazingira mazuri yakutoka na kijana mdogo ili wakidhi haja zao kama binadamu wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Kwenye hili kundi wapo MARIOO na ambao sio MARIOO... binafsi sifuati kulelewa Bali nafuata starehe japokuwa hawa wamama niwepesi sana kuhudumia so ukijifanya zoba utapokea sana vitu vyao but if you are a real gentleman huwezi kukubali kuhudumiwa unless otherwise uwe na shida kama shida zingine...
  11. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    29 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MR BENNY

    Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

    Kwamba wanadhalilishwaje mkuu?? Tukiongelea Wababa wanaotoka na mabinti wadogo hao tuwaweke kundi gani? Haya mambo yapo hatakama hutaki yaongelewe.. kuhusu mama yangu mkikutana wenyewe mkakubaliana fresh tu ila ndoivo bado mume wake yupo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom