Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto.
Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?
Habari wakuu, ivi ni mambo gani muhimu waweza anza nayo kimaisha ili kujikwamua katika hu jobless endapo ukiwa na mtaji wa 1M ndani mwako huku ikiwa kazi ufanyazo sio za kuelewa.
Mchango wenu wa mawazo apo waitajika kwa jobless hapa🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.