Nadhani waasisi wa Muungano walikua na ajenda zao ... Ila kiundani huwezi kuwa na Muungano wa dola mbili , kimsingi katiba ya Zanziba inatakiwa kubadilishwa ili Zanzibar isitambulike kama ni nchi pia Tanganyika isitambulike kuwa ni nchi , halafu iwepo serikali ya Muungano , kwa maana nyingine ni...
Nakubaliana na yote , ila tuangalie na wakati/Nyakati , kipindi cha jk Nyerere mambo mengi yalikua yakifanyika kwa mikono (Labour Intensive) kwa sasa mambo mengi hufanyika kwa mashine .. (Industrial revulution) , kikubwa hapa ni kulinganisha sera na uchu wa madaraka ambayo ni mambo ya kumpima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.