Kiukweli, mzee anazeeka vibaya namba inabaki pale juu ikichanwa namba inabaki pale huendi nayo kule chobingo.
Mzee nae anataka atajwe tajwe tu kama jani kibichi
Kwanza siasa weka kando japo sina uhakika kama u mwanasiasa.
Demokrasia imeminywa sana,hakuna nchi iliyoweza kupata maendeleo pasipokuwa na demokrasia ndugu.sio kwamba raid hatumpendi ra hasha bali kuna mambo anafanya si kama taasisi bali MTU binafsi.sasa hiyo haina ustawi.kumbuka tz INA wakazi...
Sipigi kampeni wala nini,ila nakataa uongo na unafiki.kwenye ukweli hawasemi.
Au kwa vile nimeitaja ccm!,kiufupi ndugu,ccm haiwezi kukwepa rawama kwa watanzania waliowengi kwa hatua hii.maana tangu Uhuru mpaka leo.watajipambanua VP!.
Hivi mahali huwa inawakilisha nini katika ndoa.kama mnahitaji haki sawa basi ifikie hatua sasa binti kwanza atafute maisha akishaona angalau anaweza kuwa na mwenza aanze kumtafuta sio asubirie atafutwe yeye.
Ikiwezekana hivyo,basi kila kitu kitawezekana.ila kiuharisia tunaongozwa na mfumo,huwezi...
Jana Pascal mayala alileta post ya kumwombea lisu uteuzi wa ubunge.hivi kwa akili ya kisomi isiyokuwa na msukumo wa kujipendekeza,mayalla anauwezo wa kujilinganisha na Lisu!.jamaa nilikuwa namheshimu sana lakini alipofikia inadhihirisha kazi anayoifanya haimlipi.
Ccm hakuna Uwezo wa kuisogeza...
Mimi na mabinti damudamu,in mwanaFA voice.
Mabinti Siku hizi ni kuwa nao makini.pia na wewe hatujui nia yako kama no ya heli kwa mwalimu au ya Shari.
Umeshindwa kuripoti swala hilo dawati LA jinsia!.emu kuwa siliasi basi.
Chapeni Nazi majungu no.
Kutoka mwandishi nguli,mpaka mwandishi kunguni.unazeeka vibaya kaka.we ni kada wa chama huna tena Uwezo was unalizi siasa kwa mzani.
Ukweli huna jipya kwa sasa.mfumo umekufumua.magu amewachezesha sphere waandishi.
Namshukuru mchina kwa kuleta simu kubwa.
Mwaka wa 5 sina mda in gazeti wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.