Recent content by mr always in motion

  1. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lisu ni adimu sana Dunia.

    Together we can,,, Tumuunge mkono bwana tundu antipas mgwai lissu 🙏
  2. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

    Kwan kauli ya kuhama chama lissu,ni nani kaitoa?.
  3. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Lissu atasema chochote malengo yake yatimie.

    🫵🥲🥲🥲
  4. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Kuachana na mambo ya chadema ni dhahiri kuwa tz ina mfumo wa chama kimoja sasa na si mfumo wa vyama vingi.🫵🫵
  5. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hapi umenena mkuu... Mm naona kama board ya mpira imeamua kuuza ligi kwa timu ya simba ili hali ichukue ubingwa kwa mbereko.
  6. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Kuwakosoa ni jukumu letu,cozi tumewaajiri sisi kupitia kodi zetu..
  7. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Kwa wembamba wako huo mie nikupeleke wapi?

    Ama kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha 🥹 😅 😅 😅
  8. mr always in motion

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi Songwe: Hakuna kupiga fataki katika sikukuu za mwisho wa mwaka bila kibali

    Haiishi mpaka iishe,, Wawezaje kuzuia watu kusherehekea ili hali ndo sikuu ya kufunga mwaka wa kufosi🫵😂😂😂
Back
Top Bottom