hili si la wanamtwara ni la watanzania wote kwani deni ni la taifa, sikia majibu yao kuwa vyama vimechochea utajua wana kazi ya kutugawa ili mambo yao yaende,
haya majitu nadhani baba yao fitina na mama yao majungu, lakini hamna nafasi tena kwa ccm kuaminiwa, kifupi hawafai, angalia ahadi zilizotolewa mtwara kwa siku moja tu utajua shetani ana kadi ya ccm
Kuna mtu aliandika habari hapa jf akatabiri kikwete hatomaliza kipindi chake cha 2 sikuwahi kuamini, lakini kama watatumia nguvu nina hakika kikwete hatomaliza kipindi hiki cha pili na kama atamaliza basi lazima ataungana na charles wa liberia jela
Mkataba huu wengi hawajauona wewe unaejua tuwekee hapa haraka ili tupime upotoshaji wa zito, kama hujaleta tutajua yote ulioandika hapa umetumwa na mafisadi baada ya kuwasingizia wamechochea watu na sasa mnasema wanapotosha, kesho mtasema wamewanunua watu wa mtwara, waambie waliokutuma warudi...
Sasa selikari badala ya kupeleka watu mtwara wanapeleka koti (pinda) tena anaongozana na shati na fulana (waziri wa mambo ya ndani na afisa wa polisi) watu wa huko hawataki kufanywa dodoki labda musitishe tu hiyo mipango yenu zaidi ya hapo mnaenda kuongeza vifo na hasira
Kama chadema ni chama cha wachaga basi ccm imeshindwa kazi haifai hata kupewa dhamana ya s/mitaa na wanaoshabikia ccm watakuwa hawana ubongo bali kamasi kichwani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.