Tupo hapa Ushirombo tunakula supu ya mkia wa Ng'ombe na ulimi wa kuchoma ahsee nimeona idadi kubwa ya walimu wanakuja kukopa unga na dagaa hapa kwa Mangi hadi wote tukajiuliza kwani imekuweje? Mangi anasema walimu hawajapata mshahara bado.
Tukamuuliza kwani ni wao tu ndohawajapokea mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.