Imekaa kibiashara zaidi!! hatukatai shida za mahitaji ya fedha zipo, lakini ametongozwa tuu siku ya kwanza ya pili anaomba pesa kwa shida zake jamani!!!
Pole, je, ulimpata taarifa kuwa utaenda kuangalia mpira? Mwanamke ukimpa taarifa sidhani kama angefikia kukutamkia kalale huko huko. Mawasiliano muhimu kwenye uhusiano.
Si sahihi, kuna majina yanatumika pasipo stahili. Labda kama wana mtoto au watoto wanaelekezwa kwa baba yao. Binafsi kama mpenzi napenda aniite jina langu ukiacha haya majina ya romantic na sii kuniita baba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.