Recent content by mputa

  1. M

    Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Mimi ni mtafuta riziki na nimejiajiri. Katika mishe zangu, nimeishi Mwanga, nimeishi kihurio, nimeishi hedaru, nimeishi Ndungu. Sipendi kuweka wazi hapa ila hawa ndugu zako wanahitaji maombi
  2. M

    Wahudumu wa bar bila kuvaa nguo fupi, biashara haiendi?

    Wewe ni mnafiki. Nini kimekupeleka bar, kwanini usiagize uletewe nyumbani kwako
  3. M

    Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

    Kwa hiyo serikali ya Misri inapiga vita uislam, poor you...
  4. M

    Picha: Mkutano wa Rais Samia Mwanza wahudhuriwa na watu wachache

    Ingekua mama yako amepita hapo unadhani wangekuja wangapi
  5. M

    Tanzania: NGO to Reach Out to 1.5 Million Youths

    Hii DSW inatuhumiwa kuwa ina motivate masuala ya ushoga. Ofisi zao zipo Arusha, ref presentation ya mwakyembe march 2023
  6. M

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Possibly 52-60. Huyo ni wa umri wangu
  7. M

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Hiyo 1982 ndiyo imekustua ? Mimi kipindi hicho nafanya kazi Urafiki textile. Wahenga tupo wengi na tunamshukuru sana Mungu katupa uxima hadi leo.
  8. M

    Arusha bado kuna vibaraka wa Mkurugenzi Pima, mkinyamaza Arusha bado si salama

    "Nyumba alimjengea katibu mkuu" yupi sasa, wa wizara gani, au chama gani. Fafanua
  9. M

    Radio za kidini na Matangazo ya Biashara

    Fuatilia pesa wanayotakiwa kulipa kila serikalini halafu uje utupe mrejesho. Bila matangazo ya biashara hawataweza kujiendesha na kulipa mishahara
  10. M

    Utafiti: Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari

    Daaa mkuu umenichekesa sana eti wanaume wa Dar wanahusika. Leo nimepunguza stress kwa kucheka
  11. M

    Athuman Maige, Mbunge wa Tabora Kaskazini aomba serikali ifanye utafiti mahususi kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania

    Akili za kuambiwa changanya na zako. Huyu anaesema hivi fuatilia ujue watoto wake wanasoma wapi. By the way, ni ajira ipi ya kimataifa mf UN utapata bila kujua kingereza/kifaransa ?
  12. M

    Today last year I lost my Mother

    This day last year
Back
Top Bottom