Wanachokijua wao toka wamepewa mamlaka ni,
1: Kutumbua
2: Kuzuia mikutano ya kisiasa
3: Kupanda miti Far mpya
4: Kukamatana na kupelekana mahakamani
5: Tanzania ya Viwanda
6: Kupunguza watumishi hewa
7: Kuhamisha sirikali kupeleka dodoma lakini hakuna ofisi za watendaji wake
EMBU JAZIA...
Ya ngoswe muachie ngoswe
Ya Tundu Lissu mwachie Tundu Lissu
Wakili was serikali alijua kuwa hakimu atatoa upendeleo juu ya maamuzi na mwenendo mzima wa kesi.
Nanukuu kipengele iki
"PAUL KADUSHI WAKILI WA SERIKALI AWEKA PINGAMIZI
Kadushi: Napinga swali , tafsiri ya Katiba na serikali halali...
Sirikali sikivu ni ile ambayo inakaa na kuangalia jinsi gani kutatua kero za wapiga kura na kuleta maendeleo kwa nchi.
Maono yangu nchi imewashinda ASUBUHI KWEUPEEE kila siku mnatubadilishia maneno
Mlianza na kuuza au kutumia unga sasa hivi mmekuja na habari ya vibari. Yetu macho mtukufu
Mmh hi I sinema imewashinda watu, wengine watajwe na wengine wakabidhiwe kwenye tume husika kwani mwanzo hakukuwa na time? Ifike kipindi tuwe responsible na madaraka yalipo kila idara ifanye kazi yake tuache sifa za kijinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.