Recent content by Mpulanga

  1. M

    Msaada kwa wanaofahamu package ya Bima ya Afya ya watoto

    Ndo kwanza ana miezi mitatu ndugu
  2. M

    Msaada kwa wanaofahamu package ya Bima ya Afya ya watoto

    Naomba kwa wajuzi wanao fahamu kwa sasa package ya bima ya afya ya watoto iliyopo na gharama zake maana kila nikifatilia sipati muafaka.
  3. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    La 7?? Una roho kweli?
  4. M

    Habari waungwana

    Ndugu hiki ulicho andika hapa umeniacha mbali sana
  5. M

    Habari waungwana

    Mawazo tupu hapa yamenijaa Ex wangu juzi kati alinicheki kuuliza kama nishawahi pima vvu nikamjibu hapana akadai Hua wana utaratibu wa kifamilia kwenda kupima kila mwaka sasa aliipa presha kulingana na mazungumzo yalivyo kua na yapata wiki sasa hapatikani hewani Nimecheki humu zile Dalili za...
  6. M

    Habari waungwana

    Asante Mkuu
  7. M

    Habari waungwana

    Naombeni kufahamu Dalili za mwanzo za Maambukizi VVU Maana nimejaribu Kutafuta humu nilizopata wengi wamezielezea kua ni za 90'S huko so mpya zipoje kama zipo
Back
Top Bottom