Recent content by mpuko

  1. mpuko

    Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

    Ni suala la muda tu. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  2. mpuko

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Pole kwa changamoto unayopitia kwa mwanao. Mwenyezi MUNGU awe nawe na mtoto wakati wote. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  3. mpuko

    Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Fafanua vizuri mkuu. Sijakuelewa. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  4. mpuko

    Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

    Nimecheka sanaa... Kuna ukweli na kuna la kujifunza hapa. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  5. mpuko

    Gharama ya kukodi bulldozer

    Unatoa 100'000/= kwa saa na bado diesel ni juu yako. Sikuwa najua hili.
  6. mpuko

    Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Thanks man. Blessings be on you.
  7. mpuko

    Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Ninaitumia, si iko kama chenga za chumvi?
  8. mpuko

    Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    I'm fighting and with the help of our almighty GOD I'll win.
  9. mpuko

    Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Napambana na matibabu ya aina zote. Kizungu na kujifukiza. Lakini mwili unauma asikuambie mtu!
  10. mpuko

    Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Chukua tahadhari mkuu. Japo huwezi kujua mlango wa bahati/balaa. Mwenyezi MUNGU awalinde.
  11. mpuko

    Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Niko Mbeya na niko kitandani I'm suffering the pandemic!
  12. mpuko

    Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Nina siku 5 sasa, changamoto ni maumivu mwili mzima, mafua, kikohozi, kifua kuuma/kubana, kuchoka, mdomo kupoteza test yani hauhisi ladha wala harufu!
  13. mpuko

    Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Niko kitandani nikiugua huu ugonjwa. Mwenyezi MUNGU anisimamie/atusimamie.
Back
Top Bottom